SARIWA

Karibu SARIWA. Nguo yako, kipimo chako.

Tunashona gauni na 2 piece kwa ajili yako tu. Agiza hapa kwa dakika moja, bila maelezo marefu WhatsApp.

Agiza sasa ✨
Jinsi inavyofanya kazi

Hatua 3 tu

Hakuna kuuliza bei na muda mara mia. Kila kitu kiko hapa.

1

Jaza fomu fupiJina, nguo unayotaka, na ndani ya muda gani.

2

Tuma kwa WhatsAppUjumbe unakuwa tayari umeandikwa. Bonyeza tu tuma.

3

Tunaanza kushonaTunakuthibitishia na kupanga vipimo na malipo.

Kazi zetu

Zilizopendwa zaidi

Tazama kitambaa kinavyokuwa nguo.

2 piece ya maua nyeusi na nyeupe Kipenzi cha wateja

2 Piece ya Maua

Wateja 3 tayari wameipenda. Top ya kuchomoza bega na suruali ya kamba.

Kitambaa cha maua nyeusi na nyeupe kikiwa kimeshonwa kuwa tops
Kitambaa
→
Matokeo ya 2 piece
Matokeo

Kazi mpya zinaongezwa mara kwa mara. Fuatilia IG na TikTok yetu

Agiza

Tuanze kushona

Jibu maswali machache, kisha tuma kwa WhatsApp.

Karibu! Jina lako nani?

Ili tukuite kwa jina lako.

Unataka nini?

Chagua kimoja.

Unaihitaji lini?

Ada ya haraka inalipwa kulingana na muda.

Uko mkoa gani?

Tunahudumia mikoa hii kwa sasa.

Karibu kabisa, !

Kagua kisha tuma kwa WhatsApp.

Tuma oda kwa WhatsApp
🚚Kumbuka: bei hazijumuishi usafiri. Gharama ya usafiri italipwa na mteja.
Agiza ✨