Tunashona gauni na 2 piece kwa ajili yako tu. Agiza hapa kwa dakika moja, bila maelezo marefu WhatsApp.
Agiza sasa ✨Hakuna kuuliza bei na muda mara mia. Kila kitu kiko hapa.
Jaza fomu fupiJina, nguo unayotaka, na ndani ya muda gani.
Tuma kwa WhatsAppUjumbe unakuwa tayari umeandikwa. Bonyeza tu tuma.
Tunaanza kushonaTunakuthibitishia na kupanga vipimo na malipo.
Tazama kitambaa kinavyokuwa nguo.
Kipenzi cha wateja
Wateja 3 tayari wameipenda. Top ya kuchomoza bega na suruali ya kamba.


Kazi mpya zinaongezwa mara kwa mara. Fuatilia IG na TikTok yetu
Set ni 35,000 na chini tu ni 15,000. Gauni linategemea material: batiki au kitambaa cha kawaida.
Top haiuzwi peke yake, inapatikana ndani ya set tu. Bei ni kwa TSh na hazijumuishi usafiri.



Telezesha kuona zaidi →
Jibu maswali machache, kisha tuma kwa WhatsApp.
Ili tukuite kwa jina lako.
Chagua kimoja.
Chagua suruali ndefu au shorts.
Chagua batiki au kitambaa cha kawaida.
Ada ya haraka inalipwa kulingana na muda.
Tunahudumia mikoa hii kwa sasa.